Uncategorized

PICHA ZAIDI ZA KPARTY GALA YA DEC HII!

By  | 
Asante sana wadhamini wetu Amarula Cream na wadhamini wengine clouds fm,picollo hotel,pad za HC na Cassandra.Asante wote mliohudhuria SIKU HIYO pamoja na uwepo wa mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha.Maoni zaidi ya kuboresha hasa upande wa speakers ambao ndio kiungo muhimu cha hii kitu.Ikumbukwe kitchen party gala ni sehemu ambayo wanawake tunakutana kuongelea mambo yetu kama wanawake na wasichana.Changamoto za kimaisha si mahusiano pekee bali namna ambavyo tutakuwa bora kila siku katika maisha yetu ya kila siku.Mwanamke ni kiungo muhimu katika jamii ni bibi,mama,shangazi,mama mdogo,mama mkubwa,dada,shosti,wifi,mama mkwe,mtoto n.k Ndio maana tunaelimishana au kukumbushana kila siku mambo mbalimbali maana majukumu yetu ni makubwa kujitambua ni muhimu.
Pia tumekuwa tukiuliziwa DvD za event zilizopita mwakani tutajitahidi maana tunakwama kuzichapa sababu ya gharama pia uchakachuaji.
Mwakani tutaona itakavyokuwa.
kwa lolote la kujenga tuandikie womeninbalancetz@gmail.com
Arusha 2014 tutaianza na nyie mkae tayari Mungu atupe uhai na afya njema!

10 Comments

 1. Anonymous

  December 16, 2013 at 10:27 am

  Mbona safari hii picha yako hatuioni kwani vp bidada?Don't hide is just a blessing

 2. Natalie Nkya

  December 16, 2013 at 11:06 am

  so inspiring..how you do your things
  long live Dina

 3. Ruky

  December 16, 2013 at 11:06 pm

  Nimetoa macho jm my mdogo Dina mbona sikuoni jam?

 4. Anonymous

  December 17, 2013 at 4:40 am

  Dina na wewe umaarufu wako unapungua sijui tokea umekua na mimba hupost kitu !!blogu inaboa kweli . Kama unaogopa kuweka picha zako basi tuwekee vitu vingine! Mimi napenda blogu yako mpaka nachukia nikikuta hujaupdate kitu.

  • Anonymous

   December 19, 2013 at 10:50 am

   mdau hata mimi nakasirika dina asipo udate blog yake. fikiria picha za kitchen party galla katuwekea watu waliokuwepo yeye hajaweka pix hata moja nimemaindi kishenzi.nampenda mdogoangu kikweli..anaweka vitu vya maana humu..mana unaweza kukereka na huko kwingine ukitaka amani unakuja zako DM blog, mambo shwari..unakuta post za kukufikirisha, kukupa changamoto, kufurahi sometimes, kulia, na kujifunza kuwa mtu bora ili kuleta tofauti. sasa dogo ndo anazingua haiko active, tukimbilie wapi Dina bana? niajiri basi nifanye hiyo kazi kama uko busy tetetetetetetetete. Love u mingi sana.

  • Anonymous

   December 21, 2013 at 2:22 am

   Hebu muambie na wewe! Yani nimeshazoea post zake. Nyingi ni za kuelimisha,kufundisha. Ila saivi naona kaamua kutuacha hewani. Haya bwana

 5. Anonymous

  December 17, 2013 at 12:25 pm

  watu wamependeza..namuona dai sis JUDDY

 6. Anonymous

  December 17, 2013 at 12:26 pm

  Watu wamependeza kweli..wapi JUDDY

 7. Anonymous

  December 25, 2013 at 4:24 pm

  unanini wewe yaani unaniudhi !! we uko wapi apo? unajishauwaaa nyooooooooo!!!! mpaka kagera.

 8. Anonymous

  December 25, 2013 at 6:41 pm

  Dina love u saaaana bt pic yko iwapi? We cnt judge u cz it non of our busness bt twataka kukuona dia, plzzzz

Leave a Reply