Uncategorized

SNAKE GIRL KAJOL KHAN

By  | 
 Ni nadra sana kwa mtoto wa miaka 10 kujenga urafiki na nyoka.Si mtoto bali watu wazima pia sio rahisi.Lakini kwa mtoto huyu Khajol Khan wa nchini India ni tofauti.Yeye nyoka aina ya cobra anaishi nao,anacheza nao anakula nao na ndio marafiki zake.
 Kajol anaishi katika kijiji cha Ghatampur Uttar Pradesh na wazazi wake baba na mama.Anaishi pia na dada zake sita na kaka wawili pamoja na nyoka wake sita hao Cobra.
 Mapenzi ya kukamata nyoka na kukaa nao ameyatoa kwa baba yake Taj Mohammadambae amekuwa akifanya shughuli hizo kwa miaka 47 sasa.Kuna wakati nyoka wanamg’ata na kuumwa sana lakini baba yake humtibu kwa dawa asili anazotoa huko porini.
Mapenzi hayo ya nyoka kupitiliza yamesababisha Kajol asipende shule jambo linalowakwaza wazazi wake.Yeye muda wote na nyoka kiasi kwamba hana marafii watoto wenzie.Wazazi wake wanajitahidi kweli asome na pia kusoma masomo ya nyumbani.

8 Comments

 1. Moi Haisule

  December 4, 2013 at 11:37 am

  Hatariii,hata
  mbeya kuna mtoto alikua anashika wa kila aina,ila sija wahi kumuna na
  cobra!pia alishika na kuwafuga kwa muda,alipokuja kung'atwa na kutibiwa
  na dawa za asili aka acha!

 2. Elia Kihoyo

  December 4, 2013 at 1:33 pm

  duuuuuuuuuuh

 3. Ruky

  December 4, 2013 at 10:07 pm

  Du. ….maskini

 4. Anonymous

  December 5, 2013 at 5:27 am

  dar hii mpya kabisa machoni pangu

 5. Anonymous

  December 5, 2013 at 6:19 am

  hapana uwiiii michezo mingine ikae mbali uwiiii hapa nasisimka ni kwa picha uwii hapana , au kuna dawa anapewa jamani na kabint ni kazuri kah

 6. Anonymous

  December 6, 2013 at 8:47 am

  Huyo sio binadamu ni mnyama na mnyama hana akiri ipo siku eatambadirikia kabisa.

 7. Anonymous

  December 6, 2013 at 12:19 pm

  Huyo mtoto hapana kabisa kula na mimi namuogopa!

 8. Anonymous

  December 10, 2013 at 3:21 pm

  Huyo mtoto angekuwa mwanangu ningemgawa bure hpna taka kabisa hao wadudu looh

Leave a Reply