Uncategorized

MISEMO YA KWENYE KANGA!

By  | 
BASI SAWAAAA!!

8 Comments

 1. teressa simon

  February 11, 2014 at 3:03 pm

  Umenikumbusha mbali, haya mambo ya zamani watoto tulikuwa ndio tumejua kusoma, basi kila mwanamke mwenye khanga akipita tunakimbilia kwa nyuma kusoma khanga yake, siku moja nikaamkia bila mmama wa jirani ili kusoma khanga ikasomeka USIISOME KHANGA YANGU NIULIZE NIKWAMBIE KWA MDOMO WANGU, nilinyweeeeea kiranga chote komo

 2. Anonymous

  February 11, 2014 at 4:15 pm

  hahaha Dina hii umeitoa wapi

 3. Not Hater

  February 12, 2014 at 6:56 am

  Lol! Teressa Simon,umeniacha hoi.

 4. Anonymous

  February 12, 2014 at 1:59 pm

  Umenikumbusha mbali

 5. Anonymous

  February 13, 2014 at 9:24 am

  UMESEMA NIMEKUSIKIA NIKIKUJIBU USIKASIRIKE

 6. Anonymous

  February 25, 2014 at 12:46 pm

  HAHAHA TERESSA

 7. Anonymous

  March 14, 2014 at 3:00 pm

  Mmmmh nzuri hyo nakukubal sana dyner u r unique 1 of ur kind

 8. Anonymous

  April 10, 2014 at 7:52 am

  DINA I MISS U JAMAN WHEN R U BACK LAKINIII Mamii Dah!

Leave a Reply