Uncategorized

MAHINDI YA KUCHEMSHA NA KUUNGA KWA CHUZI ZITO LA NAZI – KUTOKA KWA CHEF KILE

By  | 
Haya ni mapishi rahisi sana ila yenye matoke mazuri sana. 
MAHITAJI
 • Mahindi manne
 • Souse tayari pawa mbili
 • Tui zito la nazi kikombe cha chai kimoja
 • Kitunguu
 • Chumvi
 • Pilipili Manga
JINSI YA KUPIKA PISHI LAKO 
Weka souse yako katika chombo ipate moto vizuri kisha weka mahindi yako  alafu malizia na lile tui zito la nazi, endelea kukoroga kwa muda kama dakika tano huku ingali bado inachemka. Baada ya hapo tayari pishi lako lipo tayari. 
Kwa maelezo zaidi ingia:
Instagram: chefkile

7 Comments

 1. Anonymous

  April 22, 2014 at 11:27 am

  Kuna wengine huchukia watu fulani wakiwa katika hali hiyo,au hupenda kula udongo n.k.duuh…. wewe unapenda mahindi ya kuchemsha unachanganya na sosi……we kiboko

 2. Anonymous

  April 22, 2014 at 2:14 pm

  niceee

 3. Anonymous

  April 23, 2014 at 8:31 am

  Waooo!!!!!!!!!!!!!!!, that is nice

 4. Anonymous

  April 24, 2014 at 7:26 am

  inaonekana tamu, by the way dina tuwekee basi hata mtoto wako kwa blog kimya du

 5. Anonymous

  April 29, 2014 at 5:25 pm

  Wifi Dina, je unarudi lini hewani? Tunasubiri kwa hamu kumuona mtoto wetu. Tumekumiss sana mpenzi.

 6. Anonymous

  May 7, 2014 at 12:03 pm

  dina tunahamu na wewe pamoja na mwanao

 7. Anonymous

  May 14, 2014 at 10:57 am

  lyk it welcome back Dina, we ave missed u kwa kweli

Leave a Reply