Uncategorized

CHAPATI YA VITUNGUU NA VEGETABLES ZINGINE KIASI

By  | 

MAHITAJI YA KUPATA CHAPATI MBILI 
  • Unga ngano atta robo
  • Kitunguu maji nusu
  • Kitunguu swaumu punje 2
  • Pilipili mbuzi moja ( kwa wanaotumia)
  • Chumvi nusu kijiko
  • Majani – Yaweza kuwa giligilani, baby spinach, mchicha) 

Kwa maelezo zaidi ingia: 

Leave a Reply