Uncategorized

BONGE LA CHATU LATOKEA NYUMBANI KWA MTU ARUSHA,MWENYEWE AOMBA ASIUAWE NI MWANAE WA KWANZA

By  | 

Nyumban kwa mtu katokea chatu kafungwa kitambaa cheupe kimeandikwa maandishi yanayotaka kufanana na lugha ya kiarabu.Ndani ya geti wafanyakazi wakakimbia na kufungua geti ghafla mwenye nyumba akapigiwa simu akasema asiuwawe ni mtoto wake wa kwanza..Imetokea Arusha sasa hivi..
Chatu limetokea chumbani kwa huyo mama ghafla likaenda kwenye maua halijamdhuru mtu wanajitahidi kuliuachatu akutwa nyumbani kwa mtu, mwenye nyumba alipopigiwa simu akasema asiuwawe Ni mwanae, imetokea sasa hivi arusha, huko sakina maeneo ya motel 2000
Mwenye nyumba anaitwa Magesa.Jamani walimwengu hawaachi tu kutushangaza muda huu nimerudi nyumbani nasinzia sinzia ndio napewa yaliyojiri mkoani arusha huko.Ila wananchi wamemuua huyo chatu.

10 Comments

 1. Anonymous

  June 5, 2014 at 4:19 pm

  Duu kazi kwelikweli wonders shallbnevr end

  • Mai

   June 6, 2014 at 7:29 am

   Muwe waangalifu mnapoandika habari sio mnakopi kama zilivyo. Hayo maandishi unaweza kuthibitisha kuwa ni quraan? Na ifike wakati tujifunze kutofautisha quraan tukufu na lugha ya kiarabu. Mnadhalilisha vitabu vitukufu vya Allah.

 2. Anonymous

  June 6, 2014 at 6:27 am

  Hayo maandishi kwenye hicho kitambaa cheupe sio Quran, ni vizuri kuwauliza wahusika kabla ya kuandika vitu ambavyo hamvijui Hata kiarabu hakiandikwi namna hiyo. Kwa sisi tunaojua Quran, ukituambia hayo maandishi ni Quran tunaona ni kashfa kubwa, ni vizuri tukaheshimu dini za watu hata kama hao wanaofata hizo dini hatuwapendi.

 3. Anonymous

  June 6, 2014 at 7:12 am

  ukistaajabu ya musa utakutana na yafirahun

 4. Kichungo Ngoma

  June 6, 2014 at 8:25 am

  huu ni uongo mtupu,,,hakuna kiarabu cha namna hiyo

 5. Anonymous

  June 6, 2014 at 11:55 am

  maajabu ya dunia chatu akawa mwanao wa kwanza? mama huyu anatakiwa kufafanua zaidi ili tumwelewe.

 6. Anonymous

  June 6, 2014 at 12:07 pm

  DADA DINA HIYO SIO QURAN HATA KIDOGO NI LUGHA ZAO TU ZA MAMBO YAO WAMETUMIA KUANDIKA

 7. Anonymous

  June 6, 2014 at 12:48 pm

  ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni kha

 8. Anonymous

  June 10, 2014 at 4:47 pm

  majanga daaaa

 9. Anonymous

  August 10, 2014 at 7:46 am

  Makubwa

Leave a Reply