Uncategorized

HEMBU TAZAMA PICHA HIZI,HUYU SIO CHUI NI MGONGO WA BINADAMU KAMA MIMI NA WEWE

By  | 

Jamani jamani jamani nimesikitika sanaaa vile binadamu anaweza kuwa katili kwa binadamu mwenzake.Huu mgongo unavyoonekana ni alama za meno,kuchomwa pasi na vipigo.Why jamani?why?kwa nini umuharibie maisha kiasi hichi mtoto wa mwenzako?

NNIlikuwa nimekaa na Gea habib leo akanionyesha hizi picha na kunipa mkasa wa huyu dada.Ni msichana wa kazi amekuwa akifanya kazi kwa mama mmoja ambae ndio amekuwa akimfanyia unyama huu kwa amiaka mitatu sasa.Na ili asipate msaada kwa mtu yoyote amekuwa akimfungia ndani tu hatoki njema yaani kama mateka.Huyo boss mwenyewe naona pia sio mzima lazima ana kichaa.Ila nimeumia sana,mzazi unamtoa mwanao huko kijijini aje mjini kufanya kazi hujui hili wala lile kumbe haya ndio yanamkuta jamani.

Binti ana miaka 20 naona alikuja mjini akiwa na miaka 17.Fatilia heka heka za leo kwenye leo tena kesho ijumaa Gea Habib ana taarifa kamili.

11 Comments

 1. Issa Kisalu

  June 5, 2014 at 5:03 pm

  Dah!!!!!!!!! kweli watu wengi na binaadam wachache
  ni bora tufanye atakayeua kwa upanga afe kwa upanga full stop.

 2. Anonymous

  June 5, 2014 at 5:10 pm

  Daaa ntaiskiliza ma zion

 3. chrisprin Atandi

  June 5, 2014 at 5:49 pm

  Ooh oohh na yeye miaka mitatu yote wapigwa meno na kuvumilia?..hata km uyo mama ni km hao matembo,, kinuke km vp ukatili gn huu!!

 4. Anonymous

  June 6, 2014 at 7:09 am

  uyo mama au co mtu jamani naomba serikali imnyonge

 5. Anonymous

  June 6, 2014 at 7:38 am

  huyo mama lazima anamatatizo ya akili hii ni zaidi ya UKATILI,

 6. Thomas Vonostus

  June 6, 2014 at 10:46 am

  Mmi huwa ninasema kila siku kuwa wanawake wana roho mbaya sana, matukio mengi ya kinyama namna hii yanafanywa na wanawake kwa kuwafanyia wanawake wenzao.

  • Anonymous

   June 17, 2014 at 9:28 am

   inamaana wapiga nondo huko mbea, alshabab, majambazi wote ni wanawake acha mfumo dume kijana dunia imeharibika hakuna cha mwanamke wala mwanaume. na hilo limama lipewe adhabu kama ya alie ua maana lengo lake alikuwa anataka amuuwe huyo mtoto wa watu.

 7. salha Said

  June 6, 2014 at 12:41 pm

  jamani jamani jamani YARABI TUZIDISHIE MOYO WA IMANI NA HURUMA NA UTUEPUSHE NA HIZO ROHO MBAYA NA DHULMA

 8. Anonymous

  June 6, 2014 at 12:52 pm

  this is too much and amful, huu si ubinadamu tena ni unyama serikali inatakiwa kuwa kali kwa matukio kama haya maana kila kukicha yanakuw a mengi, iwe kali kuchukua hatua ili na wengine wasizoee. dah pole sana bint

 9. Anonymous

  June 7, 2014 at 12:26 pm

  Daaa mamauyo alitakanini na wazazi tuwetunauliza kabla ya kuwaluhusu watoto kuja mjini

 10. Anonymous

  June 9, 2014 at 9:44 am

  Hii story inanikumbusha ile story ya yule mdada mliyezungumza nae akitaka kulipa kisasi kwa boss wake. Dina, hebu tueleze mlifanikiwa kuwakutanisha na boss wake? Waliyamaliza? Lete story mama'ke na Zion!!

Leave a Reply