Uncategorized

HUYU NDIO YULE BOSS ALOKUWA AKIMLA NYAMA HOUSE GIRL WAKE.

By  | 
Y
Anaitwa Amina maige au Amina kimeza

Yupo segerea hivi sasa na na jana kesi yake ilisomwa.

Yusta dada wa kazi alokuwa akiteswa na boss wake kwa muda wa miaka mitatu.Boss mwenyewe ndio huyo bidada hapo juu wala hafananii na unyama alokuwa akiufanya kwa mtoto wa watu.Picha na story kwa hisani ya Gea Habib wa heka heka za leo ndani ya leo tena.

29 Comments

 1. Anonymous

  June 13, 2014 at 7:51 pm

  HASIDI MKUBWA HUYU . AMEMTIA MAKOVU MTOTO WA MWENZIE .ALIYE MPIKIA AKAPAKUWA LOOH .HUWA NAONA KATIKA KIPINDI CHA TLC CHA AMERKA KUMBE HATA WATANZANIA WENYE ROHO MBAYA WAPO . LOO MUNGU ULIE MBINGUNI WABARIKI WADADA WASO NAUWEZO WAPATE RIZIKI KWA AMANI.
  NA HUYU BOSI MUNGU MPE MATESO DUNIANI SIO MBIMGUNI. IMMENIUMA SANA TENA SANA .
  FRM SWEDEN

 2. Anonymous

  June 14, 2014 at 6:34 am

  Unaeza kuona mtu kumbe ni mnyama mwenye mkia mrefuuu shetani huyuu

 3. Anonymous

  June 14, 2014 at 7:49 am

  mmhhh! jana huyu dada mi nahisi atakuwa mchawi mana ni unyanyasaji usio kifani. hao ndio wanaojisifu maofisini wanakaa vizur na wadada wa kazi kumbe looh uongo mtupu.
  mwache akaozee segerea mbwa huyo
  msonyoooooooooooooooooooooooooo!

 4. ambilikile

  June 14, 2014 at 8:08 am

  anyongwe huyo mwanamke

 5. Anonymous

  June 14, 2014 at 10:18 am

  Aiseee!! Hyo bi dada hamnazo she is not normal jamn! Kha kumla mwenzie wapi na wapi! Ateswee haswa hko alipo! Imeniuma sana tna sana maana wanatusaidia sana wadada hawa sasa kukaa nao kwa mateso haipendz! Tujirud akina mama!

 6. Anonymous

  June 14, 2014 at 2:39 pm

  Huyo dada anafanya kazi TRH KULASINI DARE ESALAM Ana roho mbaya ajabu nimefanya kazi nae afungwe miaka mingi sana

 7. Anonymous

  June 15, 2014 at 9:05 am

  Ila bora huyo kuliko melina yule alojeruhiwa kichwani,kwanza walimpeleka kwenye hosp. Ya private yule dr. Akawahoji vp huyu binti ilikua usiku km satatu ndo wakasema kadondoka na ndoo ya maji yn lile kovu la usoni asa dr. Anaona dam zinamtoka kichwani ikabidi amnyoe nywele zote si ndo kukuta majeraha kibao kichwani ikabidi dr. Aende polisi usiku ule wale wamama ambao ndo ndugu Wa huyo yasinta rwechengura boss alomleta melina walikasirika sana kwani walijaribu kumhonga dr. Ila dactari alikataa ndo defender likawachukua wale wamama na melina akapelekwa mwananyamala km sakumi alfajiri kwahio dr. Ndo aliebumbulua siri ile….yn naskia huyo Mama rwechengura ana roho mbaya sana wanaokaa boko wanamjua…wanawake naona tuache vitendo vya ukatili kwa watoto Wa wenzetu km msichana umemchoka mrudishe kwao tafuta mwingine

 8. Anonymous

  June 15, 2014 at 9:07 am

  Mbona comment yng haiji nifanyeje

 9. Anonymous

  June 15, 2014 at 5:18 pm

  Hata hafanani kabisa na hiyo roho jamani duu masikini sie tutanyanyasika mpaka lini?

 10. Anonymous

  June 16, 2014 at 7:32 am

  jamani ina maana huyo bidada alikuwa anaishi mwenyewe ndani ya nyumba? hamna jirani wala wageni??? mbona ni kitendawili ukifikiria kiukweli!!!! na kumla mtu kwanza hata kinyaa hana unaishije na mtu mwenye vidonda kila mahali?? daaaaaaaaaaaaaamn!!! ningepewa nafasi kidogo ya kujifungia chumbani na yeye kwa nusu saa tuu angeona kitu ningemfanya……Mungu amponye huyo mtoto msichana jamani dooooooo IKIWEZEKANA NA VITU VYOTE ANYANG'ANYWE MSICHANA NA AKAANZIE MAISHA NYANI HUYO

 11. Anonymous

  June 16, 2014 at 7:58 am

  umetuaibisha wananzega wanyamwezi hatipo hivyo lol nahisi unadamu ya kirundi

  • Anonymous

   June 17, 2014 at 7:31 am

   na kweli wanyamwezi, wasukuma ni wakarimu sana sijui yeye mnyamwezi wa wapo

 12. Anonymous

  June 16, 2014 at 8:41 am

  kwa kweli muacheni akafie jela sasa kama umemchoka motto wa mtu si umrudishe kwao mbona tunamsahau mungu kiasi hicho loooooooooooo hana hata aibu wanawake wenzie hawako hivo

 13. Anonymous

  June 16, 2014 at 8:42 am

  kwanza ana matatizo ya akili sio bure kama alkali iko sawa basi mchawi

 14. Anonymous

  June 16, 2014 at 8:55 am

  Kweli kabisa, namuunga mkono anonymous hapo juu, haina haja kukaa na mtu unayeona hakufai, ni bora umuondoe dada (Msichana) kama unaona hakuridhishi na matakwa yako, vitendo wanavyofanyiwa hawa wadada ni dhambi kubwa jamani, kweli Mungu hapendi, sisi tunaoamini kwamba Mungu yupo hii dhambi huwa haipotei kila tendo baya unalomfanyia mtu hilo tendo litaishi tu kwenye hiyo familia na siku yoyote ile litakuja kujirudia kwenye familia yako, aidha watoto wako au hata wajukuu zako watakuja fanyiwa "the same" So hiyo dhambi haifi, sasa wewe utafurahi kuona hali kama hiyo? Wapendwa Mungu yupo tumuogope, Mtu humtaki Muondoe utakuwa na heri zaidi kuliko kumuadhibu kikatili na kinyama hivi. Wakina Mama Tubadilike maana hili linatuhusu Sana.

 15. Anonymous

  June 16, 2014 at 5:38 pm

  Shetani kabisa huyo dada tena hafai kuishi na binadamu,loooooohh akafie jela kabisa mwanaharamu mkubwa!!!!!!

 16. Anonymous

  June 17, 2014 at 6:42 am

  lazima atakuwa ni mnyama

 17. Anonymous

  June 17, 2014 at 10:58 am

  TUPIGANIE UNYANYASAJI WA WATOTO UISHE.
  UKINYANYASWA MKUBWA UAWEZA SEMA LAKINI MTOTO ANAYETAFUTA RIZKI KAA WAFANYAKAZI WA NDANI HUWA NGUMU KWAO.
  JIRANI ,RAFIKI, DADA ,MAMA ,KAKA TUOKOE MAISHA YA WATOTO HATUJUI WAKWETU WATAISHI VIPI MBELENI .
  HAWA WANAOTESEKA SIO WANAPENDA AUWALIPENDA YOTE MAISHA

 18. Anonymous

  June 18, 2014 at 8:33 am

  Jamani katika nchi za kiafrika hasa tz, suala la u-psycho hatulitilii maanani. Ndo maana watu wana-date hadi kuoana au kuanzisha mahusiano ya aina yeyote bila kujua hali ya afya ya akili. Kuvaa vizuri na kuweka pozi wakati wa kupiga picha haimaniishi kuwa mtu yuko vizuri kichwani. Na nyie wazazi na walezi mnaowatoa watoto wenu kuja mijini kufanya kazi fuatilieni maendeleo ya watoto wenu. Acheni kusingizia umaskini ili kukwepa majukumu. Pole sana dada. Mungu atakulipia.

  • Anonymous

   June 25, 2014 at 2:50 pm

   Umeniwahi huyu ni Phsycopath kabisaaa. Ni mgonjwa wa akili kuna jambo lilimfanya awe hivi kha! How dare you can do such a thing ? Kama hakufanyii kazi unavyotaka si umrudishe ulikomtoa? Hebu ongea na Aunt Sadaka aongelee watu wenye tabia hizi huwa kichwani kunakua kidogo na shida.

 19. Anonymous

  June 18, 2014 at 9:44 am

  nyonya damu tumbafu kabisaa

 20. Anonymous

  June 18, 2014 at 11:17 am

  Mmmh kwa kweli aadhibiwe maana huu ni ukatili kabisa. Anaweza kumfanyia hata mumewe au mpenzi maana mototo wake ana uchungu nae. Lakini mbona hafananii!! ana matatizo gani? Labda wataalam watatusaidia jibu ambalo labda tunaweza kuridhika nalo. Binti nae mbona asiweze hata kusema kwa mtu jamani ili asaidike au atoroke tu!!
  Wanawake tuache tabia ya kutesa watoto wa mwanamke mwenzio, hivi angekuwa mototo wake wa kumzaa angejisikiaje.
  Asante Dina kwa kutuhabarisha

 21. Anonymous

  June 19, 2014 at 4:44 pm

  Jaman jaman hii ni sodoma Sasa kwann umfanyie mtu ivyo umemchoka temana nae lait mm ngekua judge dis case na ile ya mtt moro haziitaji upelelez wangeonja kitanz kweupe

 22. Anonymous

  June 20, 2014 at 9:35 am

  mimi na hisi huyu mama siyo mzima, itakuwa ana aina fulaniya ugonjwa wa akili, hii si kawaida hata kidogo. Na huyo binti alishidwa hata kutoroka jamani?

 23. Anonymous

  June 22, 2014 at 6:03 am

  Nje ya mada! Kwanza nimefurah sana kukuona tena dada Dina nilikumis sana tuko pamoja! Mm penda ww sana

 24. Anonymous

  June 24, 2014 at 5:39 am

  Ndio mizimu hiyo uchawi tu hakuna lolote sasa kweli mtu kamili anaweza fanya hivyo.jamani tukane mizimu na kuvunja mahusiano yote ya babu /vizazi zetu yaliyokinyume na mungu tujitahidi kuudhuria madarasa ya kiroho kukuza imani zetu pale unapoona imani yako inahitaji msaada .mimi binafsi nimesaidiwa sana kwa mtu wa mungu BG Malisa ushauri wangu tu nisimkwaze mtu

 25. Anonymous

  June 24, 2014 at 7:22 am

  mh! huyo dada ana roho gani, ya unyama. huyo atakuwa ni mchawi alikua anakunywa hizo damu za huyo binti.

 26. Anonymous

  July 9, 2014 at 12:51 pm

  Kwa uelewa wangu huyu dada anatawaliwa na mapepo ambayo yanamtaka aone, anuse au aonje damu ya mwanadamu mwenzake. Yawezekana anavyofanya hivyo anakua hajitambui, ila anahitaji maombezi ya ukombozi (deliverance) vinginevyo akiendelea hivyo atakuja kuua kabisa na kunywa damu. Yawezekana amevagawa na mapepo, au alijiingiza katika kuabudu miungu ya uongo na huo ndio ujira wake. Namuombea Mungu huyo binti apone na walio karibu na DSM wamtembelee hospitalini kumuombea na kufanyiwa counselling ili akipona aweze kurudia hali yake ya mwanzo.

 27. Anonymous

  July 11, 2014 at 2:39 pm

  Jana 10/07/2014 kapata dhamana. Though ni haki yake kikatiba mi sijapenda kabisa. Nilitamani akae huko huko Segerea Kwa muda wote ambao kesi itaendelea. Kumbe anajua baya na zuri Maana anajjficha gubi gubi na manguo yake. Pambaf kabisa.

Leave a Reply