Uncategorized

MIMI NA ZION

By  | 

Picha tulipiga wiki ilopita wakati tumetoka clinic.

46 Comments

 1. Anonymous

  June 12, 2014 at 8:34 am

  Hongera dear mtoto kakuwa mpaka raha. Ila umenenepa . Mimi niliongezeka lilo 15 wakati wa ujauzito nimejitahid nimepungua ila tumbo halikurudi itakiwavyo kwa ajili ya uzazi wangu ulikuwa wa operation kama wako. Na hope utapungua kidogo.
  kila la kheri na ulezi dear wangu

 2. Anonymous

  June 12, 2014 at 8:44 am

  mimi penda wewe sana

 3. Anonymous

  June 12, 2014 at 8:44 am

  cuteeeeeeeeeeeeeeee

 4. Anonymous

  June 12, 2014 at 8:53 am

  Umependeza

 5. Anonymous

  June 12, 2014 at 10:38 am

  so what????????????

  • Anonymous

   June 24, 2014 at 5:45 am

   WEWE VIP KAMA HAIKUHUSU KAA KMYA, SO WAT WAT WIVU TU TUACHE SIE WENYE HAMU YA KUPATA UPDATE KWA DINA TUPATE TULIA HUNA ADABU KABISA.

  • Anonymous

   July 2, 2014 at 1:27 pm

   pole yako

 6. Anonymous

  June 12, 2014 at 11:46 am

  Nice picture! Hongera sana mmependeza sana jamani. Zion kafanana na baba yake kidogo na pia kafanana na wewe kidogo. Nywele za kwako na sura ya mviringo ya kwako.

 7. Anonymous

  June 12, 2014 at 12:50 pm

  hongera dina nimewafurahia wenyewe mmpendeza , namwombea Zion maisha marefu na MUNGU amkuze kwa kadiri ya fadhili zake. naomba umnyonyeshe 2 years solid ussige madada wa mjini Dina oo ukinyonyesha sijui maziwa yatalal oo utazeeka ,hakikisha mwanao anakua vizuri . MAMA AARON WA ARUSHA.

 8. Anonymous

  June 12, 2014 at 1:00 pm

  pendeza sana mama na mwana.hongera Dina mungu akujalie maisha marefu na Zion wtu.

 9. Sasha mwaipopo

  June 12, 2014 at 1:02 pm

  NICE PIC,BUT UMENENEPAJE……MIC U

 10. 1075

  June 12, 2014 at 3:52 pm

  Duuuh mbona umekuwa bonge hivyo?? Aya bana ila umependeza na mwanao

 11. Anonymous

  June 13, 2014 at 6:36 am

  Msalimie Zion jaman, ila Zion anajua pozi za kupigia picha huyo yan siku hizi watoto wa digital kweli kweli! Nyumba yako Da dina ina maua hiyo hadi raha.

 12. Anonymous

  June 13, 2014 at 7:01 am

  mmetokelezea hatimaye mama zion hongera dina umekuwa mama sasa

 13. Anonymous

  June 13, 2014 at 7:26 am

  jamani mimi ninawapenda sana nyie watu, naomba Mungu akukuzie jamani Zion wako…

 14. Anonymous

  June 13, 2014 at 7:36 am

  Aisse zion anafanana sana na baba yake

 15. Anonymous

  June 13, 2014 at 9:16 am

  Mmependeza na mwanao

 16. Anonymous

  June 13, 2014 at 10:36 am

  Mama na mwana mmependeza sana,mdau wa Arusha.

  Lilian

 17. emmy munice

  June 13, 2014 at 1:10 pm

  Umependeza dada Dina. Af umenenepa thou umependeza ila upungue kdg ( mawazo tuu) Nakupenda jamani. Wish u ol the best kwa malezi. And am happy umerud tena kupost.

 18. emmy munice

  June 13, 2014 at 1:11 pm

  Umependeza dada Dina. Af umenenepa thou umependeza ila upungue kdg ( mawazo tuu) Nakupenda jamani. Wish u ol the best kwa malezi. And am happy umerud tena kupost.

 19. emmy munice

  June 13, 2014 at 1:11 pm

  Umependeza dada Dina. Af umenenepa thou umependeza ila upungue kdg ( mawazo tuu) Nakupenda jamani. Wish u ol the best kwa malezi. And am happy umerud tena kupost.

 20. Anonymous

  June 13, 2014 at 1:14 pm

  Hongera sana Mama Zion,I love your house!!! Ni kweli umenenepa as you said,lakini ni kawaida kwa wanawake wengi wakitoka kwenye uzazi,mbeleni utajicontrol utapungua utakua sawa!!

 21. Anonymous

  June 14, 2014 at 6:44 am

  Hongera dada dina kazion kazurijee mungu awape afya njema.

 22. Anonymous

  June 14, 2014 at 9:11 am

  u got a nyc baby Dinah, hongera da Dina ila umenenepa wewe mazoezi yanakuhusu weyee.

 23. Anonymous

  June 15, 2014 at 5:21 pm

  Hongera na umependeza sana na Mwanao hadi nawatamani

 24. Anonymous

  June 16, 2014 at 6:47 am

  dah mi nimependa nyumba tu

 25. Anonymous

  June 17, 2014 at 7:10 pm

  Mmependeza je wewe na mwanao.

 26. Anonymous

  June 19, 2014 at 10:21 am

  Dina maana ya Jina Zion ni nini, au umempa tu kama jina. He is very cute sana. Dear wala usiogepe eti umenenepa, it is normal at times mambo yatakuwa sawa. Watu wengine eti umekuwa bongo, is it a crime to be bonge…..NONSENSE

 27. Anonymous

  June 19, 2014 at 5:30 pm

  hongera sana dear……wenye wivu wajinyonge kweli…wenye……wajinyonge…..sana!!

 28. Khalfan Juma

  June 20, 2014 at 4:48 am

  nice hongera sana

 29. Anonymous

  June 20, 2014 at 2:05 pm

  Mmh shoga mwanao kakua hongera dinna, ila sasa best changamoto ya kupungua unayo yani umenenepa do!! Itabidi ujipange.kwl kwl na azura kukata hizo kgs….

 30. Anonymous

  June 23, 2014 at 10:35 am

  Kikubwa uko salama my dear, omba kwaajili ya afya ya familia yako. Usijali mwili utapungua tuu ukishaanza mazoezi. Ila ufuate mashart ya daktari siyo ya watu wa kawaida

 31. Anonymous

  June 23, 2014 at 11:27 am

  Hongera sana.mtoto wako ni mzuri.Unene usikusumbue akili. wewe kuwa serious na content za hicho kipindi.Maana una sura nzuri na ipo vile vile. Uzazi hasa wa operation una changamoto.Na hauwezi kuanza mazoezi mapema ni mpaka kidonda kipone kwa ndani.Na si vema ukafanya diet sasa kula upate maziwa ulee mwanao.Watakaokusema kuhusu unene hawajapita njia yako. Hawajui wasemalo.Nani kafa kwa unene

 32. Anonymous

  June 25, 2014 at 10:23 am

  huyu mtoto kafanana sana na wewe iyo picha ya kwanza duuuu

 33. Anonymous

  June 25, 2014 at 11:19 am

  hongera dada yangu!!!!mtoto mzuri,,,,penda wewe sana na mic u pia!!!!!!

 34. Anonymous

  June 25, 2014 at 11:46 am

  yaani kweli unene usikusumbue, mdada umependeza sana na baby wako. nimekupenda bure, am six month pregoo i wish nije kuzaa mtoto mwenye afya km zion.

 35. Anonymous

  July 1, 2014 at 1:26 pm

  umependeza sana unene si hoja utapungua tu si bado unanyonyesha?your so beutiful

 36. Anonymous

  July 2, 2014 at 1:03 pm

  He is so handsome. I like him!

 37. Anonymous

  July 3, 2014 at 7:50 am

  Dina mdogo wangu umependeza sana wewe na baby Zion. Inshallah nawaombea Mwenyezi Mungu akuongoze umpe makuzi mema yenye maadili na afya.

 38. Anonymous

  July 13, 2014 at 10:15 am

  Natamani huyo mtoto maana nahisi nampenda sana kama ninavyokupenda we Dada Dina, hongera

 39. Anonymous

  July 15, 2014 at 12:06 am

  Ongera mamiii mmependeza na nyie unene2 c katoka uzaz uta pungua tu saiv kula tu zayan apatemaziwa nkupenda sana dina mwaaaaaaa and Zion.

 40. winny

  July 15, 2014 at 9:29 am

  Mh!! Kazur mungu akukuzie wangu kalibu kwenye ulimwengu wa wazaz sasa Sina wasiwasi nawewe najua ni mama bora.

 41. Anonymous

  August 7, 2014 at 11:13 am

  Hongera! Mmependeza!

 42. Anonymous

  August 8, 2014 at 1:55 am

  zion is very handsome hongera sana… ila na wewe una weusi mzuri mno

 43. Anonymous

  August 12, 2014 at 2:07 pm

  Wifi Dinaaa!!!you look lovely with your handsome baby boy!!! love love love you so much Dina. Yani mi kitu kimoja kinachoniuzi na watz ni tabia ya kuambia wenzao sijui UMENENEPA nyoko-nyoko (samahani kwa kuchafua hali ya hewa na maandishi yangu) ila huwa nachukizwa sana na hiki kitabia cha kupenda kuambia watu wamenenepa. Nyie vibwengo mlozoea kuambia watu mkome kabisa na mshindwe na kulegea, kwani lazima watu wote wakonde na kuwa kama betina? kwani watu hawajitambui wenyewe kama wamenenepa ama wamekonda? Nadhani jukumu la kuambia mtu kanenepa ama kakonda liachiwe ndugu wa karibu sana ndio waseme hivyo na sio wapita njia. Mnajuaje labda baby #2 is on the way? Dada Dina you look absolutely lovely, for someone who just gave birth less than a year ago! Love you wifi!!

 44. Anonymous

  September 12, 2014 at 4:48 am

  Safi sana mchangiajo iloepita wape mdongo wamezidi

Leave a Reply