Uncategorized

KUTANA NA HARIETH PAUL MWANAMITINDO WA KIMATAIFA MTANZANIA NCHINI CANADA

By  | 

Huyu ndiye Herieth Paul, mwanamitindo maarufu wa kimataifa ambaye anarepresent Tanzania nchini Canada. Wadau wa fashion wanasema akiendelea naspidi hii atampiku hata Naomi Campbell. Designer maarufu marekani, TomFord, amesema Herieth ndiye favorite model wake baada ya kufanya naye kaziya msimu wa spring ya designer huyu. Vilevile ameisha appear kwenye coverza magazine kubwa kama Vogue na Elle Magazine na nyingine nyingi.Mwanamitindo huyu wa kimataifa pia amesaini mkataba wa vipodozi nadisigner maarafu kwa jina la Calvin Klein. Licha ya mafanikio makubwaaliyonayo mwanadada huyu ana umri wa miaka 18 tu. Mwanadada huyu akiwa naumri wa miaka 13 alipata shavu la papo hapo baada ya kujitokeza kwenyeaudition ya wazi ya Angie’s Modelling Agency. Herieth anajivunia sanakuwakilisha Tanzania na ana mpango wa kuanzisha modelling agency yake hapanchini.

2 Comments

  1. Anonymous

    July 12, 2014 at 6:52 am

    Hi da dina nafurahi sana kuona mtoto wa kike kuwa na mafanikio makubwa kama hayo.

  2. esther nyalusi

    July 12, 2014 at 11:15 am

    Mungu aendeelee kumfungulia njia

Leave a Reply