Uncategorized

MANUNUZI YA VITU VYA KUPELEKA KWENYE VITUO VYA WATOTO YATIMA YAMEANZA.

By  | 

Wiki hii nimeanza manunuzi ya chakula na mahitaji mbali mbali ya kupeleka kwenye vituo vya watoto yatima.Tutaanza na vituo viwili cha Mwandaliwa kilicho Mbweni siku ya jumamosi ndio tutawapelekea.Kitafatia kituo cha zaidia kilichopo sinza siku ya jumapili.Vitu vingine tutaendelea baada ya Idd.Hivi viwili vinalelewa katika maadili ya dini ya kiislam ndio maana nawapelekea kuwahi sikukuu ya idd na vingine tutaenda baada ya Idd.Nakukaribisha kuendelea kuchangia na pia kuambatana na team ya dada dina cares ambao ni watu mbali mbali waliohitolea kuhudumia watoto.

Leave a Reply