Uncategorized

MTOTO HUYU AMEIBWA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

By  | 
Nimepata taarifa hii kuwa MTOTO KAIBIWA CHANGANYIKENI JANA JIONI ANAITWA MARLYN. ATAKAE MUONA NNAOMBA ATUUSAIIDIIE KUTOA TAARIFA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE. AAMEIBIWA NA MKAKA KANYOA PANK.
Please upatapo ujumbe huu mfowardie na mwenzako

Jamani mtoto mzuri Mungu akulinde na akupiganie akurudishe salama kwa wazazi wako.Wote Semeni aminaaaaa.

5 Comments

 1. Anonymous

  July 16, 2014 at 7:29 am

  o maskini katarudishwa tu in JESUS name … AMEN

 2. Anonymous

  July 16, 2014 at 8:56 am

  jamani kama mzazi nasikia kulia,lakini mungu wetu ni mwaminifu atamlinda na kumpigania aweze kurudi kwa wazazi wake salaama. Amina

 3. Anonymous

  July 16, 2014 at 9:41 am

  Aamen. Mungu wa mbinguni ni mkuu sana atamrudisha salama

 4. Anonymous

  July 16, 2014 at 10:39 am

  amina

 5. Anonymous

  July 16, 2014 at 9:25 pm

  mung ndiy mweny miujiza atakuwa salam na kurud salam mikonon mwa wazaz

Leave a Reply