Uncategorized

MY HOBBIES

By  | 

NMuda nilokaa nyumbani kuanzia kipindi nipo likizo ya uzazi nimejikuta nafanya vitu nilivyokuwa natamani kufanya ila sababu ya kukosa timu sikuvifanya.Mie napenda sana maua,napenda mazingira yanayonizunguka yawe safi na yenye mpangilio wa kupendeza.Napenda kupamba nyumba nina weza sio saaana ila kiasi chake kwa uwezo wangu.Nitakuwa na share na wewe baadhi ya hobby zangu.Kama kupamba,kupika,kupanda maua n.k

Nitakuwa naweka mara moja moja.Huwa na nunua maua na kopo naenda kupanda mwenyewe na hata yaliyopandwa tayari nachukua naenda kuyapamba nyumbani.Hunifanya nijisikie vizuriii na kufurahia kazi ya Mungu.

23 Comments

 1. Anonymous

  July 14, 2014 at 1:46 pm

  Dina umenichanya na hayo maua nimeyapenda mpk baasi natamani hata kesho nihamie kwangu nami nikapambe kwangu

 2. Anonymous

  July 14, 2014 at 5:27 pm

  dina pazuriiiii na maua ni mazuri mnoo dah hongera sana

 3. Anonymous

  July 14, 2014 at 5:27 pm

  nyc

 4. Anonymous

  July 14, 2014 at 5:28 pm

  jamani panavutia sana

 5. Anonymous

  July 15, 2014 at 5:30 am

  Good stuff

 6. Anonymous

  July 15, 2014 at 6:50 am

  hongera maua mazuri sana mi napenda sana maua

 7. Anonymous

  July 15, 2014 at 9:29 am

  YAANI DA DINA I AM addicted to your blog , twitter , facebook instagram LAV U SO MUCH

 8. Anonymous

  July 15, 2014 at 9:56 am

  Bonge la mwanamke dina(kwa upande wangu).nakupenda na unanipa hamasa ya mambo mengi.much love !!

 9. Anonymous

  July 15, 2014 at 10:30 am

  Hongera Dina, maua mazuri sanaaaaaaaaa. Naomba niwe mgeni wako kuja kuchukua mbegu

 10. Anonymous

  July 15, 2014 at 11:55 pm

  Yaani we binti una mtazamo tofauti ukilinganisha na ma star wengine, yaani unafanya mambo makubwa mm mama wa 40yrs nabaki nakushangaa! Mungu azidi kukupigania na kukuongoza

 11. Anonymous

  July 16, 2014 at 5:44 am

  Hongera what's a lovely garden! Mimi naomba tu kujua nitaipataje hiyo bicycle ya kubebea maua. Naomba unielekeze inapouzwa. Natanguliza shukrani.

 12. Anonymous

  July 16, 2014 at 6:27 am

  hata mimi napenda sana maua sema kupanda sasa ndo hapo

 13. Anonymous

  July 16, 2014 at 9:47 am

  Dina wewe ni mwanamke wa mfano, tunajifunza mengi sana kupitia wewe, hata mume aliyekupata wewe hatajuta kamwe. Nakuombea awe mume bora kwako. Napenda kila kitu chako, Mungu akulinde pamoja na familia yako.

 14. Anonymous

  July 16, 2014 at 10:11 am

  dinna unasifa sana alafu unapenda sana showoff…..

 15. Anonymous

  July 16, 2014 at 11:11 am

  Gud job mama ake Zion.

 16. Anonymous

  July 16, 2014 at 2:56 pm

  hakika nakupenda sana dina sijawahi kukuona zaidi ya hapa kwa blog yako ila nimetokea kukupenda sana,mungu aendelee kukuinua zaidi na zaidi kwenye kazi ya mikono yako

 17. Anonymous

  July 16, 2014 at 4:13 pm

  mi hivyo vyungu dina.ni udongo au plastic

 18. Anonymous

  July 18, 2014 at 11:22 am

  NDOA LINI? TUJUZE DADA AU NDO UMEJISOGEZA JUMLA TAYARI.

Leave a Reply