Uncategorized

UBUNIFU,CHUPA YA MAJI INAVYOWEZA KUGEUZWA KUWA TAA NZURI YA UREMBO

By  | 
Hapo kilichotumika ni chupa ya maji,vile vijiko vya plastic vinayeyushwa na kubadika na kutokea pambo zuri la kuwekea taa kama linavyoonekana.Mambo ya ubunifu hayo.

4 Comments

 1. Anonymous

  August 1, 2014 at 7:22 am

  wao ni nzuri sana inapendeza, ubunifu mzuri sana.

 2. Anonymous

  August 7, 2014 at 8:13 am

  Nampongeza sana huyo msanii, nikitu hasa cha kupendezesha madhari ya ndani,ila naomba kujua je kama utawasha taa kwa muda mrefu halitayeyuka?

 3. Anonymous

  August 8, 2014 at 5:06 pm

  Safi sana.. hii taa
  iko poa sana..ubunifu wa hali ya juu

 4. Anonymous

  August 14, 2014 at 8:47 am

  Wooow, I like the creativity. Mungu amsaidie ubunifu wake huu uweze kumtoa kimaisha

Leave a Reply