Uncategorized

KITAELEWEKA TU.

By  | 
Sina maneno mengi ila time will tell kitaeleweka tu.

56 Comments

 1. Anonymous

  August 13, 2014 at 5:41 pm

  NI KWELI DEAR HAKUNA MNENE DUNIAN WALA MWEMBAMBA

 2. esther nyalusi

  August 13, 2014 at 7:36 pm

  Tunasubiriiiii

 3. Anonymous

  August 14, 2014 at 12:46 am

  Uko vizuri tu Dina mdogo wangu, jikubali mwenyewe, mazoezi kwa afya.Love u sanaa mamiii.

 4. Anonymous

  August 14, 2014 at 7:47 am

  Aisee ni bora tu ulivyoamua kuanza mazoezi maana hali yako ni mbaya. Na hilo AFRO kichwani duuu. Suka japo rasta za njia tatu umejiachia sana kwa kweli.

  • dinamariesblog

   August 14, 2014 at 9:14 am

   kuhusu kusuka hapana kama wewe unapenda kusuka suka tu wewe mwaya na utapendeza sana.

  • Anonymous

   August 22, 2014 at 9:23 am

   Dina my dear ishi maisha yako mie nayapenda sana sana ur rocking so jishughulishe na yako………………………

  • Anonymous

   August 22, 2014 at 11:54 am

   kinyago cha mpapureee…………………………..

 5. Anonymous

  August 14, 2014 at 8:03 am

  Umbo lazima liwe la dondora sio pyramid tena1

 6. mama 2

  August 14, 2014 at 8:12 am

  Bora Dina!!! Maana umekuwa mama haswaa!! Lakini ndo uzazi, ni mambo ya kupita tu. Nakuaminia Dina time will tell.

 7. ESTHER

  August 14, 2014 at 8:28 am

  We mama Zion una hatari , una haraka ya nini mara? si umejifungua kwa operation hata mwaka bado unajikunja namna hiyo? please kidonda kimepona kweli? usije kurudi theatre bure , atakupenda jinsi ulivyo
  mi nimefanyiwa operation mwaka 2011 ya ovarian cyst lkn mpk leo najiogopa mazoezi

  • dinamariesblog

   August 14, 2014 at 9:15 am

   hahahaa kabla niliongea na dokta wangu alonifanyia oparation akaniambia kwa sasa naweza kufanya mazoezi

  • Anonymous

   August 14, 2014 at 10:08 am

   wacha nyuzi zifumuke ndio atajua ubishoo mujini.

 8. Anonymous

  August 14, 2014 at 8:47 am

  Asante mama lazima kieleweke kwa style hii. hongera maana kidogo ungemfikia zimpompa!

 9. Anonymous

  August 14, 2014 at 9:29 am

  njia tatu maanake nini, baki na nywele yako unapendeza, endelea na mazoezi, hata ungebaki ulivyo uko vizuri tu

 10. ESTHER

  August 14, 2014 at 9:45 am

  Bora umetusaidia wengi , ngoja na mie nianze sasa nilikuwa bado naogopa kufumua mshono , maana now nakimbilia size 18 , nimeletewa zawadi na rafiki yangu wa UK ,zipite wapi? imeniumaje? ahsante sana Dina naanza soon pale Kisutu primary

 11. Anonymous

  August 14, 2014 at 11:59 am

  Hongera mama Zion kwa kuanza mazoezi n kweli kitaeleweka tu…….mic u n msalimie zion.Angel

 12. Anonymous

  August 15, 2014 at 6:15 am

  umependeza da Dina….. ila hata mimi nilivyoona hizo picha za mazoezi nilishtuka but kama dokta kakubali poa tunasubiri matokeo

 13. Anonymous

  August 15, 2014 at 7:44 am

  Hongera kwa kuweka mwili fit,mi naomba ukiwa na nywele fupi you luk sexy mamito

 14. Anonymous

  August 15, 2014 at 8:32 am

  ubishoo mjini…… post vitu vya maana matukio n.k angalia wenzako kina shamimu zeze, michuzi, unapitwa mpaka na sinta hahahaha damn you dinna.

 15. Anonymous

  August 16, 2014 at 7:24 am

  dada Dina stand za maua unanunua wapi?

 16. Anonymous

  August 16, 2014 at 10:30 am

  Ila Dina umejiachia sanaa baada ya kuzaa. Iyo minywele mibayaa, humuoni Shamimu alivyopendeza? Mange na wengine, shonea ata kawigi jamni, una mwanaume mzurii kupita kiasi handsome wa haja, ivi unadhani anafurhia kuwa nalimwanamke lililovimbiana hivyo??? Em jipende jamni pyeee. Atachepuka mpaka basii

  • Anonymous

   August 18, 2014 at 6:54 am

   Dina ni mnene siku zote. Huyo mwanaume mzuri kupita kiasi kwani hakuwaona mamiss na viportable hadi akaja kwa Dina. Sio wote wanapenda vimbaumbau.

  • Anonymous

   August 18, 2014 at 12:51 pm

   umenena August 16, 2014 at 3:30 AM kama litufe

  • lily Z

   August 21, 2014 at 5:03 am

   uwiiii weweee una laana wewe si bureeee

  • Anonymous

   August 21, 2014 at 5:12 pm

   Mwenzangu fanya mazoezi kwa afya yako!!!! About kuchepuka 99.9% ya wanaume wa TZ wanachepuka haialishi awe HB au Kingwendu. Kwa uzoefu, hao wadada mnaojirembaaaa to death wanaume wenu wanachepuka kwa sana tu na wanawake wa kawaida tu. Namiliki HB wa nguvu na nipo simple tu !! Wekeni mikope kama zombi mwanaume mchepukaji atachepuka tu, tena na mtu hata usiyetegemea. Poleni wapoteza muda.
   Elmmy-Moro.

 17. Anonymous

  August 17, 2014 at 10:51 am

  Wanawake tupendane jamani. Badala ya kumkashifu Dina hivyo mtie moyo. Uzazi unarespond tofauti kwa kila mwanamke na yeye anamoyo wa kurudisha mwili wake vizuri na amemconsult Doctor so badala ya kumvunja moyo na kumcompare na wengine mtieni moyo.

 18. Anonymous

  August 17, 2014 at 10:53 am

  BTW kujifungua kwa c-section si sababu ya kutofanya mazoezi. Mimi nina watoto 3 wote kwa c-section lakini mara zote naanza mazoezi baada ya miezi 6 na Doctor is fine with it.

 19. Anonymous

  August 17, 2014 at 10:53 am

  BTW kujifungua kwa c-section si sababu ya kutofanya mazoezi. Mimi nina watoto 3 wote kwa c-section lakini mara zote naanza mazoezi baada ya miezi 6 na Doctor is fine with it.

 20. Anonymous

  August 17, 2014 at 11:21 am

  Wewe vipi aliyekwambia kushonea weavin au kusuka ndo kunamfanya mtu acchepuke nani? Ucmforc mtu kufanya kile acchopenda,baba zion kampenda hivyo hvyo alivyo uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu kama unaona afurahii bac ni wewe! Ebu kalambe ndimu kule.mxiiiu!

 21. Anonymous

  August 17, 2014 at 2:54 pm

  Kha hivi we anonymous unafikiri mwanaume anadhibitiwa kwa kusuka wigi au kutovimbiana hahahahaha

 22. usie mpenda kaja

  August 17, 2014 at 6:09 pm

  uwii watu mnachamba bt dina ana shep la kabat so mwil wke mkubwa inshot ndio umbile lake .afanye tiz taratbu.muone dida amekua kma bint wa miaka kumi na mbil adi raha kapendza

 23. Anonymous

  August 17, 2014 at 7:22 pm

  Dada mi nakupenda ww jamani niajiri nije hata kupalilia maua tuu maana sina kazi,pls cctar

 24. Anonymous

  August 18, 2014 at 6:41 am

  Mdau acha wakina Shamim angalia hata mwenzie Gea wamejifungua wote lakini yupo So smart.Sijui huyu dada kapatwa na nini jamani kiukweli hupendezi kama before za mzazi mwenzio, Hebu jipende bidada unaonekana mtu mzima wa fourty something.

  • Lily Z

   August 22, 2014 at 9:24 am

   weee utakua ni mtu mmoja tu maana ulivokazna kumponda Dina masikini, unatia huruma kweli lakini pia kama huna wivu na Dina basi una stress zilizopitiliza. Mungu akusamehe buree!!

 25. Anonymous

  August 18, 2014 at 8:04 am

  Huyo anayekwambia you look sexy na nywele fupi anakudanganya. Kipindi chako cha TV kinaanza kurushwa lini tumesubiri sana jamani.

 26. maggy

  August 19, 2014 at 9:54 am

  kuna watu mnaropoka humu sijui mpoje koma kumfananisha dina na watu wengine huyu ni Dina wale nao ni wao

 27. neema

  August 19, 2014 at 10:50 am

  mwananchi una hasira kali sana…mwenzio kashapendwaaa swala la minywele au kujiachia we inakuhusu? kwann wanawake tunachuki? hata akienda kwenye peruvian hair but usiku ukiiingia anarudi kwa aliyevimbiana ….achaga uchawi basi hebu nunua azam milk ukafanye biashara.

 28. lina

  August 19, 2014 at 10:52 am

  kama anapitwa na kina shamim au sintah weumefata nn humu? kama sio wivu unakusumbua utakua mgeni humu…dina hanaga mambo ya copy na paste sasa wewe kama unataka hizo wafate hao hao…..si tushamzoea hivi hivi na tunafurah.

 29. Anonymous

  August 20, 2014 at 6:57 am

  I like u Dina,na nakukosa sana these days ktk leo tena as sio muangaliaji sana wa tv,so nitazidi kukukosa.naomba clouds wakurudishe tu ktk leo tena jamani. as for the mpango mzima wa kupungua,i wish u all the best kipenzi ila tu nitakushukuru mnoooo kama mie ukinisaidia diet plan yako tu ie unakulaje from morning to evening maana mazoezi honestly ni mtihani.

 30. Anonymous

  August 20, 2014 at 12:40 pm

  Mamy mbona unaharaka sana na lile lisintando ulilochomwa mgongoni bado tu unajipinda badae utaumwa mgongo uwiii ebu fanya ya kawaida tu lakini mapema sana ,hivi hujui kama mwili wako utarudi taratibu the way mtt anavyo nyonya shauri yako u
  huo ni mwili wa uzazi badae utakuwa okey mama brice.

 31. Anonymous

  August 21, 2014 at 1:30 pm

  Dinah nyumba inakupendeza sana mpz fanya kweli bwana uwe mama mwenye nyumba legally maana hawa jamaa hawatabiriki. I like the surroundings nyumba safii na vile ulivyo msafi itakuwa nyumba ya kuvutia sana. Ila usijisahau bana hizi ndume za mjini ni shiderrrrrrrrr anyway congratulations kwa babe mcuteeee

  • Anonymous

   August 22, 2014 at 11:47 am

   waume wenyewe ni hao kina yahaya duh wacha tumwachie mwenyewe

 32. Anonymous

  August 21, 2014 at 9:58 pm

  Dina wala usiwasikilize wanaokuponda, wengine hatuwezi kuwa size 0 bana. nimekutumia hii link yaani ukiifanya 7days utapungua sana. itakupa kick start nzuri. unaweza ukasubstitute mlo kama bado baby anayonya ili unywe tu juice especially mlo wa usiku. gudluck

  http://www.justonjuice.com/7-day-juice-fast-plan/comment-page-36/#comments

 33. Anonymous

  August 22, 2014 at 10:08 am

  mwaya mazoezi mhimu sana hata mamis wanafanya wanao ponda hamnazo tu

 34. Anonymous

  August 22, 2014 at 5:07 pm

  Dina, wewe ni mzuri sana, mrembo, achilia mbali uzuri ulionao. Kufanya mazoezi si lazima kupungua bali ni kuweka mwili uwe fit tu. Nyie mnaosema maneno yasiyopendeza kwa innocent Dina hamna zaidi ya kuwa haters. Wanawake kwanini tunapenda kila mtu awe na mtizamo kama wa kwako? nywele fupi…mbaya…ulimbukeni huo. Kila mtu aishi maisha yake.

 35. ruckshaz

  August 23, 2014 at 11:03 am

  Duuuh!! Watu wanawivu mwenzenu ametulia na bby wake mnaanza ooh amenenepa ooh mara suka nyinyi inawahusu nini asuke asisuke??? Embu wekeni mipicha yenu hapa tuone ili tuwadadavue sio kusema ya wenzenu tu,Dina songa mbele

  • Anonymous

   August 25, 2014 at 3:58 pm

   Na huyo anaekoment ni mtu mmoja wala tutishe

 36. Anonymous

  August 23, 2014 at 11:26 am

  bora shost ufanye mazoezi maana umekuwa kama Bibi yake zion mzaa baba.

  • Anonymous

   August 25, 2014 at 3:57 pm

   Kwan lazima uingie hum umeitwa hebu mwache mwana wa mwenzio huna unalomsaidia wivu chuki zimekujaa chefuu

 37. Anonymous

  August 25, 2014 at 7:12 am

  kweli bibi zion mtupu kwi kwi kwi kwi.

 38. Anonymous

  August 25, 2014 at 4:25 pm

  Hiyo ndo siri kubwa inayomfanya apendwe na ba Zion ka vp chimba shimo jifukie ka unakereka@ anonymous august 23 4:26

 39. Anonymous

  August 28, 2014 at 11:45 am

  nimesoma comments weee naona mmemaliza.
  dina ni hivi tena nisikilize kwa sikio na macho! huo sio unene! hio ni zawadi ya kuwa mama, mie nina stretch marks tumboni ka chui ila ndo kwanzaaaaa niko poa na napendwa!

  usijekufa kwa maneno ya watu! wengi wanaoandika hapa hata labour hajui ni ni ni! usista doo hauishi! leo mnamchamba kesho mwanae kawa mkubwa na kapendeza mnaanza oh tupe siri ya urembo!

  eat, mwanao apate afya na mazoezi kidogo! be happy!
  nisalie nasaka mimba na ndoa ni mapenzi ya MUNGU

Leave a Reply