Uncategorized

MSHINDI WA MWAKA JANA WA SHINDANO LA MWANAMAKUKA BI AZIZA MBOGOLUME AFARIKI DUNIA.

By  | 
Kikundi Cha Unity Of Women Friends, kupitia mradi wao wa Mwanamakuka Awards na washirika wake, Benki ya wanawake TWB na Cloud Entertainment group. Wana masikitiko makubwa kwa kumpoteza mshindi wa mwaka jana 2013, Bi Aziza Mbogolume.
 Amefariki leo mchana, na anatarajiwa kuzikwa kesho saa tisa mchana nyumbani kwake Magomeni.
Aziza alikuwa mwanamke jasiri, mwenye uthubutu wa kufanya biashara kupitia kipaji chake cha kuchora.

Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi,amina.

10 Comments

 1. Anonymous

  August 26, 2014 at 7:12 am

  du may her soul rest in peace

 2. Anonymous

  August 26, 2014 at 8:11 am

  Jamani…..Eeeh Mungu awape ujasiri ndugu, jamaa na marafiki kuita katika kipindi hiki kigumu na kisichoelezeka. Poleni wafiwa!

  Elmmy

 3. mama 2

  August 26, 2014 at 8:36 am

  Jamani, Pole kwa familia.

 4. Anonymous

  August 26, 2014 at 9:00 am

  Polen ndugu,marafiki,majiran na wanafamilia ktk kipind hik kigumu

 5. Anonymous

  August 26, 2014 at 1:10 pm

  May her Soul Rest in Peace Amen.

 6. Anonymous

  August 26, 2014 at 1:17 pm

  poleni zaidi wanafamilia

 7. upendo lema

  August 26, 2014 at 3:01 pm

  bwana ametoa na ametwaa jina lake libarikiwe,AMEN

 8. habbie41

  August 27, 2014 at 11:06 am

  R.I.P bi Aziza

 9. Anonymous

  August 28, 2014 at 7:38 am

  Pumzika Kwa amani Bi Aziza

 10. Anonymous

  August 28, 2014 at 8:42 am

  Poleni wafiea

Leave a Reply