Uncategorized

MY HOBBIES….MAUA

By  | 

Nilisema ntakuwa nawashirikisha sehemu ya vitu ninavyopenda kufanya.Kila siku kwenye maisha tunashauriwa kuongeza new hobbies kama inawezekana.Kuna kitu nakipenda sana na nikiwa mdogo nilikuwa nakimudu mno,kuchora.Nilikuwa nachora sana nilipoanza maisha ya kazi sijawahi kuchora tena.Nahisi nitarejea tena kwenye kuchora soon nitaanza kama mwanafunzi naona maana sijui tena ila kama ni kipaji ninacho ndani basi kitafufuka tu.
Haya maua niliyapanda mwenyewe kwa mkono wangu na sasa yameshamiri vyema.

23 Comments

 1. Anonymous

  August 4, 2014 at 10:32 am

  Dada tuelekeze mahali pa kupata stand za maua km kile kibaskeli

 2. esther nyalusi

  August 4, 2014 at 11:34 am

  Hii nadhani nitaiga sio mbaya maana unapenda sana maua nipo ku copy na kupaste

 3. Anonymous

  August 5, 2014 at 4:29 am

  Dina ninashida na were my dia.km hutajali namba yangu ni 0786978398

 4. Anonymous

  August 5, 2014 at 6:14 am

  maua mazuri jaman dada dinah hongera wee nakutamani sana.

 5. Anonymous

  August 5, 2014 at 12:41 pm

  bado kidogo utatuonesha unavyo fanya mapenzi…….

  • dinamariesblog

   August 5, 2014 at 2:55 pm

   Eti eeeh,basi sawa.

  • Anonymous

   August 6, 2014 at 5:07 am

   mazuri da DINA

 6. Anonymous

  August 6, 2014 at 1:01 pm

  Yaan da Dina hata usinge lijibu liho lijinga maua na mtu kafanya mapenzi wapi na wapi muwaza ngono huyo hovyooo

 7. Anonymous

  August 6, 2014 at 7:13 pm

  Nakupendaa sana dada Dina…

 8. Anonymous

  August 6, 2014 at 7:15 pm

  Nakupendaa sana dada Dina…

 9. Anonymous

  August 6, 2014 at 8:07 pm

  We annoy hapo juu peleka umburula wako huko……wivu na roho mbaya zitakuua…..Da Dina nilikuinbox Facebook utusaidie kutangaza mtt amepotea. How much do u charge please…. Dotto

 10. dinamariesblog

  August 6, 2014 at 8:56 pm

  Poleni kwa kupotelewa na mtoto,sijaingia facebook.Hiyo mbona haina charges ni msaada tu.

  • Anonymous

   August 6, 2014 at 9:02 pm

   Ahsante sana Mama Zion….wamenipigia sasa hv mtoto kapatikana. Twamshukuru Mungu kwa Hilo. Ahsante sana kwa ushirikiano wako mpnz. Bless you dear …… Dotto

 11. Anonymous

  August 7, 2014 at 5:20 am

  Nakupenda

 12. Anonymous

  August 9, 2014 at 1:50 pm

  Napenda an rangi ya ngozi yk.naomba jina la lotion na powder Tafadhali.no yangu ni0714470304

  • Anonymous

   August 11, 2014 at 8:42 pm

   Hiiii jamani we mweupe Da dina maji ya kunde wapi na wapi kupaka lotion moja tambua ngozi yako kwanza usikurupuke.

 13. Anonymous

  August 15, 2014 at 8:33 pm

  kwema dina naomba namba ya mama eva yule anaepima uvimbe wa wanawake na mirija kiasili0755655036

 14. Anonymous

  August 16, 2014 at 7:02 pm

  Dada dina shikamoo na samahani, blog yako yako ile ya dinahicious……..inatumiwa na wenye computer tu? Wenye simu hapana?

  • lily Z

   August 21, 2014 at 5:12 am

   ile siyo blog ya Dina Marios my dear

Leave a Reply