Uncategorized

VIDEO..UPENDO WA MARAFIKI KWA MWENZAO ALIYEGUNDULIKA ANA KANSA.

By  | 

4 Comments

 1. Anonymous

  August 13, 2014 at 5:30 am

  Waoooooo ni raha ilioje ila kwa sasa hakuna marafiki wenye upendo km huo dina ni wachahe sana tena sana.Huo ni mfano mzuri kwa marafiki woote walioshibana na kupendana kwa dhati

 2. esther nyalusi

  August 13, 2014 at 1:33 pm

  Duuuu huu ni upendo uliopitliza mpenzi,je sisi tukotayari kuwasadia marafiki zetu au tkusikia ana AIDS basi ndio tunamuweka kando kabisaa hata namba yake tunafuta kabisaa we need to change kwakweli

 3. lily Z

  August 15, 2014 at 12:05 pm

  ooouuh this was soo touchyyyy kwa kwelii

 4. Anonymous

  August 17, 2014 at 7:29 pm

  mi imeniliza jman dah

Leave a Reply