Uncategorized

KUNA MJANE UNAMFAHAMU MWENYE WATOTO WADOGO NA ANAUHITAJI MKUBWA?pls soma hapa.

By  | 

Wapenzi bila shaka hamjambo,sasa natafuta mjane ambae anawatoto wadogo kuanzia mchanga mpaka miaka 12.Na mjane huyu awe ni yule mwenye uhitaji sana kiasi kwamba hajimudu kwa mavazi ya watoto wala chakula.Pia unirform za shule za watoto,viatu na vifaa vya shule.Napia nahitaji walio hapa Dar maana ni rahisi mie kwenda alipo kuhakiki hali utakayoniambia.Naomba ukifanikiwa nitumie maelezo yake na namna ya mimi kukupata ili unipeleke kwa kwa email yangu dina_marios@yahoo.com

1 Comment

  1. Anonymous

    September 18, 2014 at 1:01 pm

    Dada dina yupo Mdada mmoja ana watoto wa 3 na hana maisha mazuri na anakaa kwao wazazi wake hawana kazi kwakweli maisha yake ni magumu.ntakuemail

Leave a Reply