Uncategorized

KUTOKA KATIKA UKURASA WANGU WA INSTAGRAM.

By  | 

27 Comments

 1. Anonymous

  September 4, 2014 at 8:47 am

  KIJEMBE CHA NANI HICHO SASA.

 2. Anonymous

  September 4, 2014 at 9:18 am

  True mama Z bonge la ujumbe jmn ubarikiwe na Hyu Mungu……..

 3. Anonymous

  September 5, 2014 at 5:12 am

  I LIKE YOUR INSTAGRAM PAGE Dina

 4. Anonymous

  September 5, 2014 at 9:22 am

  Haa haa haaa utaandika sana vijembe lakini ukweli utabaki hivyohivyo.

  • dinamariesblog

   September 6, 2014 at 6:57 am

   ukweli kuhusu nini labda?tatozo wewe kunguru mwoga ndio maana upo hapa kama Anonymous

 5. Anonymous

  September 5, 2014 at 9:24 am

  bibi zion una visa

  • dinamariesblog

   September 6, 2014 at 6:54 am

   Zion ni mtoto wangu nimembeba tumboni kwangu kwa miezi 9.Wewe kuniita mie bibi yake Zion lengo lako kunikashfu sio?kunitusi.Nikwambie kitu Siwezi kuwa bibi yake Zion pili nimesikitika tu kwa sababu unavyonikashifu mimi leo kesho na wewe utakashfiwa tena zaidi na kama sio wewe basi uzao wako.Jitengenezee laana ambayo haina ulazima kwa sababu vitakufata na vitakurudi na wala hautajua ulikosea wapi au ulimkosea nani kwa sababu muda utakuwa umepita umesahau.

  • Anonymous

   September 6, 2014 at 8:59 am

   Gooooooooo higher my Dina, mama Zion, muke ya HB Mjini, achana na watu kama hawa wako kwa ajili ya kukushusha bt when God is on ur side nothing will go wrong forever.stay Blessed and Strong mama Zion God z gud alwayz. Nakupenda sanaa ! we anoy 1:17 acha kuumia kiroho kama ujumbe umekufikia badilika jamanii! Bye.

  • najiamin mpaka najiogopa

   September 7, 2014 at 9:15 am

   dina uyu mtu anae kukejer am sure atakua mtu.wa karbu na ofcn kwko au anatembea na bwana c bure ana lake sio diva uyu kma ndo yey si mpend

  • Anonymous

   September 18, 2014 at 10:16 am

   we anno1;17 unaumwa hoi uko icu kisaikolojia ila unatembea tu ipo siku utakufa kwa vijiba vya roho ''hating is an emotional disease…..so to anyone who is hating DINA…GET WELL SOON ''

 6. Anonymous

  September 5, 2014 at 10:22 am

  Ni kweli dada dina, tena wengine ambao hata ukutegemea kuwa wanaweza kuwa watu wasiokutakia mema, mimi binafsi nimepitia hayo hasa kwenye familia yaani ndugu zangu wa karibu na mahali pangu pa kazi yaani, wengine ni watu wazima sawa na baba zangu lakini mambo waliyowahi kunitendea yanaumiza sana moyo ila namuomba mungu niweze kuwasamehe .

 7. Anonymous

  September 6, 2014 at 9:46 am

  message send.

 8. Anonymous

  September 6, 2014 at 4:52 pm

  Luv u Dina God bless u

 9. Anonymous

  September 6, 2014 at 8:24 pm

  Kabisa wala si uongo.wazoee wanadamu dada dina.

 10. Anonymous

  September 6, 2014 at 8:28 pm

  Gooo Dina wanajitahidi kukushusha hawakuwezi tunakupenda.

 11. Anonymous

  September 7, 2014 at 1:20 pm

  Dada Dina hata usiwajibu, ur so highly blessed..zion, partner, quality life etc..ur what u ar, no body will ever be u!! Wanarekebisha one part of u, wanasahau no body is perfect,, hakuna mwanadamu asiyekuwa na lolote la kutokurekebisha…i jst love u with ur impefection…keep the gud work, do ur thing, judge no body…ur so much blessed!!

 12. Anonymous

  September 8, 2014 at 7:02 am

  I m sorry Dina. Naomba unisamehe kutoka moyoni and I mean it .Sitakukashifu tena na ninaomba Mungu anisamehe kwa hilo.Nimejisikia kuhukumiwa moyoni nimetubu kwa MUNGU wangu na ninaomba na wewe unisamehe pia.

  • dinamariesblog

   September 8, 2014 at 7:19 am

   Sina tatizo na wewe kwanza sijui wewe ni nani?ila niloshangaa binadamu unapokosa UTU na kuniita mimi bibi yake Zion knowing Zion ni mwanangu.Lengo unikashfu kuwa mie mzee?!ningeweza kukaa kimya kama ninavyozikalia kimya comment nyingi but that was too much na hata Mungu hapendi ndio maana alinifanya mie mama yake Zion na sio bibi yake.Nimekusamehe kabisa sina tatizo na wewe ila napenda ujue usifanye mabaya popote pale hata kwa kificho yatakurudi ipo siku.Sio kwangu hata kwa yoyote na binadamu tunasahau utahisi Mungu kakuonea kumbe kuna mtu ulimkwaza akalia na Mungu wake.Kuwa na amani nafurahi umejua kosa lako na ukaomba radhi.Na wewe ni binadamu pia kukosea umeumbiwa.

  • Anonymous

   September 8, 2014 at 9:03 am

   What goes around come around. Mungu akusamehe tu. Ni tatizo la kisaikolojia hilo. Ushauri wa haraka unahitajika.

  • Anonymous

   September 8, 2014 at 9:04 am

   Dina utuwekee masomo ya kutujenga zaidi kiakili na kisaikolojia. Na motivational Quotes

   Mama Alice

 13. penda sana dina mario

  September 8, 2014 at 10:23 am

  yan maneno yko .uwaga una ni touch cna unavo andika yan kama nakuona yan unafaa kuwa mshaur ama mama mchungaj .yan ume ni gusa ulivo mjibu uyo anony .ujui penda cna wew long liv my ceo

 14. Anonymous

  September 10, 2014 at 12:13 pm

  Roho mtakatifu azidi kukuongoza vyema na kukufunulia Dina,ukiwa na moyo wa kusamehe utakuwa na amani ya moyo,ubarikiwe sana!

 15. Anonymous

  September 12, 2014 at 8:14 am

  Asante Dina nashukuru kwa kunisamehe nimepata amani na najisikia nipo huru. Mungu akubariki akulinde na kukutunza.

 16. Anonymous

  September 29, 2014 at 10:40 am

  Mungu azidi kukubariki Dada Dina

Leave a Reply