Uncategorized

MABINTI WA PRESIDENT OBAMA

By  | 
Malia na Sasha wamekuwa hao wakati baba yao anaingia madarakani walikuwa madogo.Kingine naona ni vile warefu maana baba na mama warefu watoto watazidi Malia naona kashampita mama yake tayari kwa urefu.

6 Comments

 1. emu-three

  September 15, 2014 at 8:11 am

  Mmmh, pamoja na maumbile, sijui nani atarithi kipaji cha baba yake

 2. Anonymous

  September 15, 2014 at 12:25 pm

  ndio maana yake….

 3. Anonymous

  September 15, 2014 at 12:27 pm

  Sasha mrembo hatari, na urefu asizid hapo, hatapendeza, atakuwa kama abnormal!!

 4. Anonymous

  September 15, 2014 at 2:49 pm

  Nawapenda sana Shasha na Malia, hakika sichoki kuwaangalia. Ona walivyokuwa haraka!! hadi furaha moyoni.

 5. Anonymous

  September 17, 2014 at 9:50 am

  Ila Obama naona kabisa ni kipenzi cha Maria yani ni hand by hand na bintiye Maria kila wakitoka

 6. Anonymous

  October 6, 2014 at 5:09 pm

  DU HIYO FAMILIA NIKIANGALIA HUWA INANI IMPRESS. GOD BLESS THEM.

Leave a Reply