Uncategorized

MY HOBBY….MAUA

By  | 

6 Comments

 1. Anonymous

  September 19, 2014 at 9:44 am

  Hizo stend sijuwi stand za maua ni nzuri haswaaa,.. nimejifunza kitu hapa

 2. Anonymous

  September 19, 2014 at 11:30 am

  Dina naomba namba ya simu zinakopatikana hizo stand za maua..

 3. Anonymous

  September 19, 2014 at 12:16 pm

  mimi sio mjuzi sana wa maua ila dada dina,nakupongeza sana kwa mazingira kama hayo.usije ukaacha mama zion

 4. Anonymous

  September 19, 2014 at 3:07 pm

  Nimezipenda sana hizo stand za maua ila mie niko mkoani so sina la kusema na mie hobby yangu ni maua kama wewe big up Dina!!

 5. Anonymous

  September 22, 2014 at 6:29 am

  mazuri sana da Dina na stend ndo inapendezesha zaid

 6. Anonymous

  September 25, 2014 at 11:07 am

  Hizo pot za rangi tofauti tofauti zimependeza sana nimezipenda haswa pamoja na stend zake zinapatikana wapi da Dina.

Leave a Reply