Uncategorized

UNAZIKUMBUKA HIZI

By  | 
Leo nikiwa napanga panga vitu vya zamani hapa home nimekutana na hizi.Sio zangu lakinizilikuwepo nyumbani kwetu za mshua wangu.Ni zile video za mziki au filamu lakini zikiwa bado katika mfumo wa cassette.Hizi zilikuwa ni must kuzikuta kila nyumba miaka hiyo ya 90 mpaka 2000 na kitu.Kama mnao nyumbani na majirani zenu hawana basi mtaazimana wote kwa zamu au waje kwenu or uende kwao kuungalia.Utazunguka mpaka ukorudi una mawimbi hauonekani vizuri baadhi ya maeneo.
Unazikumbuka na zipi tena zingeongezeka hapo.

15 Comments

 1. Anonymous

  September 15, 2014 at 7:12 am

  Namkumbuka Aurus Mabele, kanda Bongoman, Bozi boziana. Yaani umenikumbusha mbali sana Dina. Maisha ya utoto wangu niliyapenda sana mpk leo siyasahau kabisa.

  Mama Achia

 2. franciscokadidi

  September 15, 2014 at 8:21 am

  Coming to america, sarafina, hour of grace, neria, terminator 2 etc

 3. Anonymous

  September 15, 2014 at 9:24 am

  Aurlus Mabele na group nzima ya Loketo ilikua balaa.Nadhani kipindi hicho wakongo walivuma sana.kuna filamu zingine pia zilivuma.kama No Retreat No Surrender ambayo illikuwa na Part 3.Maisha yalikua mazuri sana.

 4. Anonymous

  September 15, 2014 at 9:30 am

  hahhah haa umenikumbusha mbali sana hiyo mkanda yoote da Dina sisi hatukuwa nayo so ni mwendo wa kuazima ila kwa siri maana ikijulikana unaambiwa unachafua deki si mikanda yetu ilikuwa kina majuto mzee small imejazanaje hom sasa inaweza fika hata 40…

 5. Anonymous

  September 15, 2014 at 9:34 am

  WAPI my lav ya ramsey noah, coming to america,pepe kale mkanda wa mv bukoba ila utoto bwana hiyo mikanda huwezi acha kuangalia hata mara 20 hadi mkanda wa mazishi ya nyerere nakwambia dingi alinunua na nilikuwa narudiaje kuangalia alafu naliiia….hahahaha mwekee baby Zion ajionee mikanda ya Babu

 6. Anonymous

  September 15, 2014 at 9:41 am

  Inaelekea umecheka sana ulivyoiona kwa sisi tuliosoma shule za day ulikuwa tunaazimishana mikanda mpaka basi girlfriend, nsyuka, suisid mission the price na ya kinaijeria mpaka mikanda ya pilau kudadadeki ukiisahau kwenye deki ni balaa umenikumbusha mbali daa

 7. neema

  September 15, 2014 at 6:35 pm

  Gato….yondo sister….kwenye pilau usiombe umeme ukatike

 8. Anonymous

  September 15, 2014 at 8:48 pm

  Zipompapompa, avon chakachaka pia da dina umenikumbusha mbali

 9. Anonymous

  September 16, 2014 at 6:04 am

  weeeee, kofii we acha tuu, nlikuwa nacheza kama sina alili nzuri hata saivi ukupigwa wimbo wake mmmh lazima nijiachie . lol

 10. Anonymous

  September 16, 2014 at 7:12 am

  dah.komandoo kipensi.nimekumbuk mbali tulikuwa nayo yote hiyo.

 11. Anonymous

  September 16, 2014 at 11:13 am

  Da zamani raha sana awilo na home alone huniambii kitu hd leo naangalia home alone..utoto ulikuwa raha saaana enzi zetu

 12. Anonymous

  September 16, 2014 at 2:32 pm

  dah umenikumbusha mbali mie suicide bmission ilikua tamthilia ya kwanza ya kinaigeria

 13. Anonymous

  September 18, 2014 at 1:15 pm

  Daaah nimekumbuka mbali kweli hiyo muvi ya kinageria iliniliza hatari, kofi olomide na extra musica ndo wanikumbusha enzi hizo marehemu baba yangu anaziweka afu anatwambia tushindane kucheza miss you so much dadito rest in peace. uliniachia memories ambazo si rahisi kusahau.l Da dina be blessed a million times

 14. Flora

  September 24, 2014 at 10:15 am

  Daa. Dina umenikumbusha mbali sana. siku ya kwanza kuona Neria nililia sana. Niliwachukia sana binadamu. Kumbe ilikuwa ni sinema.
  Du sarafina kwa sasa kazeeka alikuwa binti mzuri kweli na aliitendea haki hiyo sinema. Du. Ingekuwa inawezekana kurudisha siku nyuma. MI ningehonga nirudie utoto.

 15. Anonymous

  October 6, 2014 at 5:00 pm

  DU. DINA UMENIKUMBUSHA MBAALI SANA.. NILIKUWA NAMPENDAJE BOZI BOZIANA. HATA ALIPOKUA BONGO NILIHUDHURIA KILA ALIPOKWENDA KUPIGA. DU HIYO KANDA ULIYOIONYESHA HADI LEO NINAO. NINAWAKUMBUKA WACHEZA SHOO WAKE AKINA SCOLA MIEL NA BETTY. ENZI ZA MAMA NZAWISA DU KWELI OLD IS GOLD.

Leave a Reply