Uncategorized

UNGO NA SAHANI KAMA PAMBO KWENYE UKUTA WANYUMBA YAKO.

By  | 
Mambo ya ubunifu hayo sasa sijui utanunua sahani kwa ajili ya chakula nyumbani au kwa tupambe ukuta?Au ungo kwa mimi ningetumia vile viungo vidogo vidogo tena siku hizi unaweza kuzipaka rangi hizo nyungo ukawa na rangi nzuri tu kulingana na namna nyumbani kwako palivyo au rangi unazopenda na mpangilio wa furniture ulivyo.

8 Comments

 1. Anonymous

  September 7, 2014 at 2:36 pm

  Sahani unatumia zile ambazo zimebaki baada ya nyingine ktk seti kuvunjika.

  • dinamariesblog

   September 8, 2014 at 7:24 am

   inategemea nadhani unawezA kuweka nzima au mabaki ya zile zilizosalia baada ya nyingine kuvunjika.

 2. Anonymous

  September 8, 2014 at 10:03 am

  ingia Beautiful Living Room Designs

  Nijuavyo mie na nimeona huku majuu wanatumia sahani za kizaman "cha kale dhahabu"
  Ila asilimia 90 ktk nyumba za watu wazima sio marika yetu..
  Tupeane mazuri mie naona mapambo yakizid yanapoteza uzuri wa nyumba .

  Mie napenda nyumba iwe simple sio mapamba mpk kizunguzungu. Angalia nyumba simple na yenye mapambo mengi utaona ipi inavutia.
  Uzuri wa nyumba ni sawa na mwanamke alotoka simple .

  • Anonymous

   September 9, 2014 at 11:38 am

   Nakuunga mkono nimeingia hiyo site mamaaa jaman mpaka raha. Tukiangalia hapo juu nyungo nyingi utadhani duka la kuuza nyungo.
   .Ila ndo hivyo kila mtu na macho yake . Kuna mwingine anaremba nyumba utadhani kwa mganga wa kienyeji mwisho uzuri wa nyumba unapotea.
   Naipenda sana BLOG hii iko kimaisha zaid haitaji mtu.
   Mola akubariki dada Dina ktk mambo yako,

 3. binti wakikwere

  September 9, 2014 at 7:40 am

  nimeipenda hii

 4. Anonymous

  September 9, 2014 at 12:51 pm

  dinna ulivyo utaiga tuu

 5. Anonymous

  September 12, 2014 at 9:01 am

  Hivi jamani …kama mtu hutaki si uache. Dada Dina love u much much achana nao

  • Anonymous

   September 15, 2014 at 12:28 pm

   kina nani

Leave a Reply