Uncategorized

TANGAZO KWA AKINA MAMA

By  | 

1 Comment

 1. Anonymous

  October 8, 2014 at 7:18 pm

  MUNGU AWAPE BARAKA . JAMANI TANGAZIENI WENGI HATA KWA MABANGO BARABARANI. HUKU MAJUU TUNALETEWA BARUA KILA BAADA YA MUDA FULANI KUANGALIA CANCER YA KIZAZI NA IKIFIKA UMRI WA MIAKA 40 UNAANGALIA YA ZIWA. CANCER NI UGONJWA WENYE MATESO JITAHIDINI WANAWAKE WENZANGU .KWANI CANCER IKO AINA MBILI MOJA INATIBIKA NA KUNA MOJA HAITIBIKI LLAKINI UKIWAHI MAPEMA UNA UWEZO MKUBWA WA KUISHI.MUNGU TUEPUSHIE MARADHI MAZITO JAMANI.
  MIE MAMA YANGU ALIPATA YA KIZAZI SIDHANI KAMA ALIMALIZA MIEZI HAPO MUHIMBILI UNGEMUONA MWILI ULIVYOJAA MAJI UTAPATA DHAMBI KWA KULALAMIKA NA MUUMBA .
  NAWAHUSHAURI JITOKEZENI
  . BORA KUTIBU KULIKO KUJIUGUZA

Leave a Reply