Uncategorized

PATA VOCHA YA SHOPPING YA NGUO ZA WATOTO ZA THAMANI YA 50,000 NA DUKA LA ZERO 2 TWELVE

By  | 
Duka la nguo za watoto la zero 2 twelve linakupa ofa ya uhakika.Nunua nguo,viatu na vitu vya aina mbali mbali vya tsh 300,000.
Baada ya hapo utapata nyongeza ya vitu vyenye thamani ya tsh 50,000
Ni msimu wa sikukuu fanya shopping na Zero 2 twelve wanaopatikana tranic plaza karibu na MOG zamani nyumbani lounge.
Piga simu namba 0716 454580 kwa maelezo zaidi.

2 Comments

 1. Cyprian C.Francis

  November 26, 2014 at 12:23 pm

  Biashara, biashara biashara ni kutafuta watu wale wenye mashabiki wengi. Hivi dada Dina huwa nawe unawatoza kidogo ili kuwatimizia watakayo.#Amani

 2. Anonymous

  November 29, 2014 at 3:40 pm

  Mambo Dina! Nategemea hamjambo. Tafadhali naomba ushauri wako:
  """"NISAIDIE "NITIMIZE AHADI YANGU """""""
  Ningependa ushauri uwe hapa ili na wengine wajifunze.
  Mimi ni mama mwenye watoto wawili naishi nje ya nchi. Nadhiri yangu ilikuwa nikibarikiwa nifungue shule ya watoto yatima na nilinunua Kiwanja cha shule Ipagala Dodoma naimani ntakijenga ..
  kwa kuwa nina nyumba zangu na ningependa moja wapo iliyopo Dodoma ina vyumba vitatu ya kulala niitoe iwe Kituo. Natamani nikijua utaratibu wa kufata nianze na watoto wachache 6 au10.
  Niliwatangazia majirani zangu huku niliko naenda kuanzisha kituo cha watoto yatima . Kwa mapenzi ya Mungu wamenibebesha vitu mwenye baskeli michezo ya watoto nk.na kontena limefika
  .Nataka niwape nafasi watoto yatima kama mimi.
  kwani mimi nilifiwa na wazazi nikiwa na miaka 13 nikasomeswa na mtu na ndo alonileta ulaya.
  Niliyaona maisha yalivyo magumu na sikiwa na maisha magumu.
  Niliumia nikatamani hata wazazi wangekuwepo sio waniliwaze hata wanikataze maovu yangu.

  EE MOLA TUBARIKI WATU WOTE TUWALEE WATOTO WALOKOSA WAZAZI JAPO HATA MMOJA TUTAWAOKOA MAISHA YAO.

Leave a Reply