Uncategorized

BLOG IPO DOROO

By  | 

Wapenzi wangu mnisamehe kwa blog kuwa dorioo nimekuwa busy na pia naifanyia ukarabati.Ikisha kaa poa mtafurahi wenyewe mambo mazuri post kila siku na pia tayari nina team ya kuhakikisha unapata mambo mazuri kupitia blog hii.Kuweni na subira nawapenda sana na Mungu awabariki.

12 Comments

 1. Anonymous

  December 11, 2014 at 8:57 am

  Tuko pamoja salimia babyboy

 2. Anonymous

  December 11, 2014 at 10:39 am

  Asante Dina. Ila jamani nina hamu sana ya kukuona kwenye TV unaanza lini kipindi. TUMEKUMISSS SANA.

 3. Anonymous

  December 11, 2014 at 11:48 am

  hamna shida my dia

 4. france kadidi

  December 11, 2014 at 12:06 pm

  Kweli ipo doroo mdada mpaka nashangaa ni nini kimetokea kumbe ubusy, basi poa pamoja sana

 5. Anonymous

  December 11, 2014 at 1:46 pm

  Ahsante Dina nasi tunajua ubusy tunasubiri kwa hamu kubwa mambo mazuri.

 6. Anonymous

  December 11, 2014 at 2:37 pm

  Hello dear pole na kazi.Da dina I need your support nimetafuta sana your email nimekosa please nakuomba check at mtengae2014@yahoo.com asante

 7. happy

  December 13, 2014 at 9:44 am

  Dina umepunguaaa hadi raha. Aisee hongera sana. Ni diet ipo iyo jamnj share na sisi. Kwakweli skufichi umepungua vizuri mno.

 8. rose sk

  December 15, 2014 at 9:30 pm

  Msomali wangu nakupendaje mungu akubariki kwakweli my role model

 9. Anonymous

  December 16, 2014 at 8:59 am

  KIPINDI KWENYE TV LINI? KAMA WANAKUZINGUA WE STICK NA BIASHARA ZAKO HASA YA MAFUTA YA NAZI KWA KWELI YOU DID IT HONGERA SANA. UMEKAMATA FURSA NA MUNGU AENDELEE KUKUINUA KILA IITWAPO LEO.

 10. Anonymous

  December 19, 2014 at 7:06 pm

  mised u

 11. Anonymous

  December 26, 2014 at 10:38 am

  NahitajI kujiunga na dada dina faundation nimechoka kulala home bora tu nisaidie wengine 0755998319 plz

 12. emma kahere

  January 19, 2015 at 7:59 am

  Habari dina. Naomba ukirudi uwe unatuwekea pia aina za vyakula ambazo tunatakiwa kula sisi tunaopungua.kaz njema

Leave a Reply