Uncategorized

PICHA ZA DADA DINA CARE’S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA VETERANI

By  | 
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care’s tulitembelea kituo cha watoto yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha mchana.

Watoto wa kituo cha Vetenari wakisaidiana kupokea mizigo iliyoletwa na Dada Dina Cares Foundation

Kituo cha Vetenati

Shughuri za kuanda chakula zikiendelea

Picha ya pamoja ya Dada Dina Care’s Foundation na Watoto wa kituo cha Vetenari 

Chakula kiko tayari na kinapakuliwa

Dada Dina akijianda kusali na watoto wa kituo cha Vetenari

37 Comments

 1. miriam msangi

  December 23, 2014 at 10:39 am

  God bless you!

 2. Anonymous

  December 23, 2014 at 11:48 am

  Mungu akufadhili na kukubariki da Dina

 3. Anonymous

  December 24, 2014 at 1:07 pm

  Mwenyezi Mungu akutanguri katika njia zako.

 4. Anonymous

  December 24, 2014 at 4:22 pm

  Be blessed my dada

 5. Anonymous

  December 24, 2014 at 4:25 pm

  Mungu akupe maisha marefu ili uzidi kusaidia wengi

 6. Anonymous

  December 24, 2014 at 5:05 pm

  ubarikiwe DINA. umeweka kumbukumbu nziri kwa hawa watoto

 7. Anonymous

  December 24, 2014 at 10:36 pm

  Mwenyezi Mungu akuongezee da dina.

 8. Anonymous

  December 26, 2014 at 2:54 am

  Dina Kwanza kabisa hongera na Mungu akubariki kwa kujitolea, pili hicho kituo unaweza kujua kama unaweza ku adopt mtoto? Nitafurahi kama utanisaidia ku uliza hilo, asante na mungu akubariki.

 9. Mama Abdulrahman

  December 26, 2014 at 12:32 pm

  Insha'Allah, Mola akufanyie wepesi katika maisha yako. Ni wachache wenye fikra za kushirikiana na jamii katika shughuli kama hizo. Tuko pamoja Dina.

 10. Anonymous

  December 27, 2014 at 4:31 am

  mungu atakubariki kwa kila unalofanya liwe jepesi.

 11. teddy clevary

  January 9, 2015 at 11:38 am

  Mungu azidi kujalia kila lililojema katika maisha yako dada dina…..binafsi najifunza mambo mengi kutoka kwako….ubarikiwe sana.

 12. Anonymous

  January 25, 2015 at 10:12 am

  Hongera

 13. Anonymous

  January 25, 2015 at 10:13 am

  Dina ninapenda kuwa volunteer kwenye Dada dina care

 14. Anonymous

  January 25, 2015 at 10:14 am

  Dina ninapenda kuwa volunteer kwenye Dada dina care

 15. Anonymous

  April 4, 2015 at 7:59 am

  Ubarikiwe sana dada dinar unawajali sana wadogo zetu

 16. Anonymous

  April 4, 2015 at 7:59 am

  Ubarikiwe sana dada dinar unawajali sana wadogo zetu

 17. Anonymous

  April 12, 2015 at 7:33 am

  Hongera dadaangu mungu awe nawe sikuzote pamoja na wasaidizi wako nakupenda bule dadaangu

 18. Anonymous

  November 17, 2015 at 7:34 am

  Ahsante da Dina kwa moyo wako wa ukarimu na majitoleo. Mungu atakulipa kadri ya mapenzi yake.

 19. Anonymous

  November 24, 2015 at 8:23 am

  Mwenyezi Mungu akutangulie katika kila jambo
  unalolifanya dada Dina

 20. Anonymous

  November 26, 2015 at 10:10 am

  naskia kulia tu nikiona watoto yatima,mbarikiwe sana ni kazi yenye baraka kwa Mwenyezi kuwahudumia mayatima na wajane

 21. Anonymous

  November 26, 2015 at 10:11 am

  afu hao watoto chotara ndo wale walifiwa na baba yao mzungu na mama yao pia alikua kichaa au?

 22. Anonymous

  December 7, 2015 at 9:25 pm

  M mungu akupe zaidi na zaidi mungu akujalie umri mrefu Dina uweze kuwatumikia watt wammungu

 23. Anonymous

  December 7, 2015 at 9:31 pm

  Naomba kuliza swali Dina, inakuwaje kama mtu anaweza kumu Adopt mtt m1 kati ya hawo apo? Yani nikaishi naye kama mwangu nyumbani kwangu? Nika mpeleka shule nammaitaji yake yote nika mlipia?

 24. Isack Fred

  December 19, 2015 at 4:05 pm

  Jah bless..my lovely sista
  Mungu anijalie mwanamke mwenye upendo na kujali…….much respect sister

 25. leezy

  December 21, 2015 at 8:37 am

  barikiwa dada, nami nataka kujiunga nifanyeje?

 26. Anonymous

  December 22, 2015 at 3:40 am

  Mungu akubariki DinnaDinna Marious

 27. belinda batinamani

  December 27, 2015 at 9:26 am

  Nikitaka kujiunga dada dina cares nafata utaratibu gani

 28. Amor Almusalmi

  December 30, 2015 at 6:49 am

  Hongera sister Dina kwa roho yako ya imani daima ukounasaidia watoto yatima,mungu akuepushe na kila kitu kibaya uendelee hivyo hivyo,ujue mungu a naona na hisani.yako haipotei sister,

 29. Anonymous

  January 2, 2016 at 8:13 am

  YOUR SUCH A DARLING DINA

 30. Anonymous

  January 8, 2016 at 7:49 pm

  Natamani ningekuwa kijana ili niweze kuchukua moja ya mtoto nimlee…Moyo wangu unalia kwa simazi……

 31. leezy

  January 9, 2016 at 7:31 am

  nami nahitaji kujiunga nifanyeje?

 32. Anonymous

  January 18, 2016 at 5:42 pm

  Kila lakheri Dina na mungu akujalie. Bila kuisahau timu yako.

 33. Anonymous

  February 23, 2016 at 10:33 pm

  Nice one,,,Mungu akupe maisha marefu mdogo wangu Dinna napenda kazi zako.

 34. Anonymous

  March 30, 2016 at 6:58 am

  kazi ni nzuri mungu akubariki na atuzidishie na sisi tuweze kuwakumbuka yatima na wajane pia

 35. Kamaron

  April 20, 2016 at 6:51 am

  At times, the prices could also watch nfl games online increase or reduce based on how many several weeks or times is left for the coordinate to start.

 36. emu-three

  November 1, 2016 at 6:03 am

  Kazi nzuri ndugu yangu big up…huo nio ubinadamu, kujali wale wenye shida

 37. Ndugu

  March 8, 2017 at 11:20 am

  Mwenyezi Mungu wa Rehema abariki kazi zako Dada Dina, wewe ni mwanamke mwenye moyo wa fadhila na ukarimu. Katika kwaresma hii mungu afungue milango ya rehema kwako

Leave a Reply